#kanisa

Yeye asiyependa hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni pendo. #maombi #Church #somo #kristo #neno #nenolaMungu #kanisa #Ushauri #ushuhuda #mchungaji #mtume #nabii #injili #kristo #Yesu #imani #faith #ujumbe


2💬Normal

Some highlights from sunday on You| Money| God - Satan desires to rule over man by seducing us with false security of money to perpetuate our rebellion against God - Money gives a false sense of power, false sense of independence - You cannot serve both money and God Mathew 6: 19- 21 “Do not store up for yourselves treasures on earth, where moths and vermin destroy, and where thieves break in and steal. But store up for yourselves treasures in heaven, where moths and vermin do not destroy, and where thieves do not break in and steal. For where your treasure is, there your heart will be also. Join us on Sunday @karuracc for more on stewardship. #church #chapel #kanisa #bible #nairobi #kenya #christianliving #gospel #money #god #you #godsplan #christianliving #christianity #africa #bible #biblia #godsword #global #teaching #preach #praise #give #generosity #community #live #welcome #sunday #sundaymorning #sundayafternoon #bibleverse PC @s.ucembe_photography


0💬Normal

Imekua ni tatizo linaloathiri vijana wengi pamoja kwa ujumla wanaume wengi wamekua wakiathirika na pornography/picha za ngono/xxx na kujichua/kupiga punyeto/masturbation. Wengi huanza umri mdogo kabisa na wengine wamekua na maisha hayo mpaka ukubwani. Wanaume wa rika, dini, nchi, kabila, kada za kazi, imani zote wamekua wakisumbuka na shida hii iliyowaweka kifungoni akili, fikra na miili yao. Kwa yeyote anaesumbuliwa na shida hii ni dhahiri atakiri kuwa imeharibu maisha yake mwenyewe, mahusiano yake na watu hasa wanawake, watoto wake kama ana familia nk Basi ni nini chanzo kikuu cha haya yote? Je kuna tumaini la kuacha kabisa kuangalia picha hizo na kujichua na kuwa mtu huru? Majibu ya maswali haya na mengine mengi yapo njiani yanakuja. Hakika kama utafata yale yatakayoelekezwa basi Mungu kwa hakika atakuwezesha kupona na kuwa mwanaume huru asiye kuwa na shida zozote za viungo vyake vya uzazi na uwezo wake wa kufikiri. KAA TAYARI KUPATA UHURU WAKO MAANA NI HAKI YAKO MWISHO WA KUWA MTUMWA UMEFIKA SASA NI MUDA WA KUWA HURU KAA TAYARI KUPOKEA RAMANI YA UHURU! #wanaume #uhuru #nguvuzakiume #upendo #mapenzi #mahusiano #wanawake #wapenzi #wachumba #wanafunzi #vijana #tanzania #kenya #amani #elimu #kanisa #jamii


0💬Normal

Baarakallahu Fii Umrik 😍 #kanisa #5thyearsold


2💬Normal

Hongera kwa kuzaliwa #bingwawa #mahandsome Acha na mimi niseme Happy Birthday kijana wetu toto la @kimlolaofficial @dalalimuigizaji Mtoto @baligeofficial umetisha #kingdario Mutoto ya @zawadi81 Uishi mpaka umshudie kwa macho siku #yesu akirudi kulinyakua #kanisa lake happy birthday to you mtoto mzuri


3💬Normal

fuatilia maarifa ya baba hapa ili ujifunze Mambo mengi, @ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @bishopgwajima @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


3💬Normal

Hongera kwa kuzaliwa #bingwawa #mahandsome Acha na mimi niseme Happy Birthday kijana wa wetu @baligeofficial #kingdario Mutoto ya @zawadi81 Uishi mpaka umshudie kwa macho siku #yesu akirudi kulinyakua #kanisa lake happy birthday to you mtoto mzuri


1💬Normal

Hongera kwa kuzaliwa #bingwawa #mahandsome Acha na mimi niseme Happy Birthday kijana wa wetu @baligeofficial #kingdario Mutoto ya @zawadi81 Uishi mpaka umshudie kwa macho siku #yesu akirudi kulinyakua #kanisa lake happy birthday to you mtoto mzuri


2💬Normal

Kwenye#Zinga leo, ni mwanamuzi @masterpieceking_. Anapenda Kanisa na kueneza injili. #confidence #kichwajuu #kanisa #church #mwanamuziki #zinga


0💬Normal

Raisi wa awamu ya 5 afuta Kodi ya majengo ya ibada. Mamboo yaliyomfurahisha baba yetu, @chomozanews, ufuatilia maarifa ya baba.@bishopgwajima @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


1💬Normal

They sure loved being outside tonight!! #lovethesepups #nightlywalk #Nitro #Kanisa #Malinois #family


0💬Normal

Mamboo yaliyomfurahisha baba yetu, @chomozanews, ufuatilia maarifa ya baba.@bishopgwajima @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


2💬Normal

Usiku wa KUSIFU na KUABUDU ulioandaliwa na VINE CHURCH TANZANIA... Tafadhali usikose ifikapo Tarehe: 4 October 2019 MUDA:3 usiku-11Alfajiri LOCATION: Millenium Tower mkabala na TRA ghorofa ya 2 WAIMBAJI: THE SPIRIT OF WORSHIP (SoW) na waimbaji wengine mbali mbali watakuwepo NB: CHAI ☕ ITATOLEWA #vinechurch #kanisa #kusifunakuabudu #hossana #worship #singforthelord @joellwaga @minister_paulclement @ministerdevotha @zoravo @johnkavishe @juliusmwombeki


0💬Normal

Men can't deny you a thing when it's ordained you from Heaven therefore fix your eyes on your maker He has it all for you. John answered and said, A man can receive nothing, except it be given him from heaven. John 3:27 I will lift up mine eyes unto the hills, from whence cometh my help. My help cometh from the Lord, which made heaven and earth. Psalm 121:1-2 #SAVEDbyGRACEthroughFAITH #salvation #gospel #IHaveDominion #righteousness #jesuschrist #wokovu #kanisa #SetApart #scripture #biblejournaling #bibleverse #evangelism #eternallife #biblia #jesussaves #thankyoujesus #instapray #churchflow #Church #tphonline #godskingdom #gospeltalk #womenintheword #goodnews #instafamily #faith #wisdom #holyspirit #grace


2💬Normal

Maisha ya Baba yetu alipokuwa ameenda ugiriki. Pata maarifa haya yatakusaidia mpendwa.@bishopgwajima @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


3💬Normal

Usiku wa KUSIFU na KUABUDU ulioandaliwa na VINE CHURCH TANZANIA... Tafadhali usikose ifikapo Tarehe: 4 October 2019 MUDA:3 usiku-11Alfajiri LOCATION: Millenium Tower mkabala na TRA ghorofa ya 2 WAIMBAJI: THE SPIRIT OF WORSHIP (SoW) na waimbaji wengine mbali mbali watakuwepo NB: CHAI ☕ ITATOLEWA #vinechurch #kanisa #kusifunakuabudu #hossana #worship #singforthelord @joellwaga @minister_paulclement @ministerdevotha @zoravo @johnkavishe @juliusmwombeki


0💬Normal

PALE AMBAPO WANA WA SAYUNI WENYE THAMANI WALINGANAO NA DHAHABU SAFI JINSI WANAVYODHANIWA KUWA VYOMBO VYA UDONGO. Hiki kitabu ndio maana kimeitwa #maombolezo sure Ni maombolezo #Maombolezo 4:2 [2]Wana wa Sayuni wenye thamani, Walinganao na dhahabu safi, Jinsi wanavyodhaniwa kuwa vyombo vya udongo, Kazi ya mikono ya mfinyanzi! Wana wa sayuni ambao Ni #Kanisa Shetani amelichukulia kwa Sasa Kama uwanja wa #mazoezi, shetani anafanya upumbavu wa kila namna na watoto wa Mungu wanakubali na wanasema Ni mapenzi ya Mungu. Yesu alisema #Mathayo 16:18-19 [18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. [19]Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni. Kanisa la Mungu sio chombo Cha kuchezea, Wala kuchezewa na shetani. Kanisa la Mungu Ni mamlaka ya Mwisho juu ya Shetani mwenyewe (baba wa uovu na waovu ) Kanisa la Mungu limepewa FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNI ZA KUFUNGA NA KUFUNGUA na kanisa hili hili lenye fungua linamwachia shetani asiye na ufunguo kuingia na kuchukua afya, uzima, mafanikio. Lazima kusimama kwenye mwamba ambao ni Yesu, kufanyia kazi mamlaka iliyoko ndani yetu ili kumzuia shetani na kazi zake. KANISA LA MUNGU LINAPASWA KUMZUIA SHETANI KUFANYA KAZI Pastor Ibrahim Amasi ABC KAHAMA LivingWord @2019


1💬Normal

⛪St. John's Cathedral, Belize City. Belize 🇧🇿 #church #belize #belizechurch #belizecathedral #belizecity #americas #belizecitychurch #cathedral #gereja #simbahan #iglesia #kanisa #glise #كنيسة #εκκλησία #chiesa #教会 #kociół #kirke #kerk #kirik #crkva #kostel #kish #kykai #igreja #churchtravelers #instachurch . . 📸 by @churchtravelers


0💬Normal

⛪St. John's Cathedral, Belize City. Belize 🇧🇿 #church #belize #belizechurch #belizecathedral #belizecity #americas #belizecitychurch #cathedral #gereja #simbahan #iglesia #kanisa #glise #كنيسة #εκκλησία #chiesa #教会 #kociół #kirke #kerk #kirik #crkva #kostel #kish #kykai #igreja #churchtravelers #instachurch


0💬Normal

#mikutano #church #kanisa 0679237978


0💬Normal

The body is a processing system. What you eat, drink, breathe, see and hear has to be processed by the body for it to be used or eliminated. The more you consume things that are hard to digest or process, the harder it is for your body to use it or to know how to use it. The body then stores these things that can’t be processed in fat and tissues or as cysts, tumors etc. ➖ The body needs time to cleanse and release these toxins. Unfortunately, the average person eats 3 or more times a day not allowing what has been eaten or consumed to be fully processed and eliminated by the body. Which causes a problematic cycle. ➖ Do your body a favor and cleanse regularly. You can do a colon cleanse along with a Full Body Cleanse to aid the body in releasing stored toxins and chemicals. Consider going alkaline today, and checkout our nutritional cleansing program (c9) +255745476030 _ _ #plantbased #foodismedicine #healthylife#healing#naturalremedies#misuli#afyacheck#mtindowamaisha#bawasiri#kukosachoo#utumbo#fruitarian #safishamwili#jengaafya#mlokamili#kilimo#ufugaji#safari#mazingira#kanisa#mchungaji #vegan#punguzauzito#mazoezi#


0💬Normal

Maneno ya Baba yetu siku ya leo, tuwe na ujasili Kama baba. @bishopgwajima @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


3💬Normal

Tumeokoka na mengi, sisi sio Kama walee. Usikose katika ibada zetukila siku ya Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili. @bishopgwajima @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


1💬Normal

Mungu anakuandalia vitu zaidi ya vile mawazo yako yanavyofikiri, Wakati ukifika utapokea baraka nyingi mpaka utashanganzwa. #usiachie#usikatetamaa#pambananahaliyako#Munguyupamojanawewe#nguvumoja#kanisa#madhabahu


0💬Normal

BABA MTAKATIFU BARANI AFRICA, HIJA YA KITUME NA UPENDO WA KINDUGU. Baba Mtakatifu Francisko anawaomba waamini kumsindikiza kwa sala na sadaka zao, ili hija yake Barani Afrika iweze kuzaa matunda yanayokusudiwa. Kuanzia leo tarehe 04 septemba hadi tarehe 10 septemba Baba Mtakatifu Francisco ataanza ziara yake barani Africa ambapo yeye anaiita ni Hija kwa watu wa Mungu barani Africa. Katika ziara hii Baba Mtakatifu atafanya hija 31 katika nchi tatu ambazo ni Msumbiji, Mauritius na Madagascar. Mambo atakayo angazia katika hija hii ni amani na upatanisho wa kidugu, utunzaji bora wa mazingira ambayo ni nyumba ya wote na ujenzi wa utamaduni wa watu kukutana katika ukweli na uwazi kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya watu wa Mungu Barani Afrika. Baba Mtakatifu anaongozwa na kauli mbiu tatu katika nchi zote atakazozitembelea ambazo ni; 01. Msumbiji Katika ziara yake nchini Msumbiji Baba Mtakatifu anaongozwa na kauli mbiu isemayo "matumaini, amani na upatanisho". Inafahamika kuwa Msumbiji ina jumla ya majimbo 9 yenye idadi ya parokia 343 zenye waamini Wakatoliki Milioni 6 sawa na asilimia 28% ya watu wote wa msumbiji. Nchi ya Msumbiji inahudumiwa na mapadre 659. 02. Mauritius Nchini Mauritius Baba Mtakatifu anaongozwa na Kauli mbiu isemayo "Hujaji wa amani". Nchi ya Mauritius ina jumla ya majimbo mawili (02) yanayohudumiwa na mapadre 95 wakisaidiwa na makatekista 1335. Idadi ya waamini Wakatoliki ni asilinia 28% ya watu wote nchini Mauritius. 03. Madagascar Nchini Madagascar Baba Mtakatifu anaongozwa na kauli mbiu "Mpanzi wa amani na matumaini". Nchi ya Madagascar ina jumla ya majimbo 22 yenye Parokia 438 zinazohudumiwa na Mapadre 1747 na kila jimbo linakituo chake cha Radio. Idadi ya waamini Wakatoliki ni asilimia 35% ya watu wote wa Madagascar. Tumuombee Baba Mtakatifu @franciscus ili ziara yake ikawe yenye Mafanikio. #popeFrancis #kanisa #hija


1💬Normal

NENDA KWA BIO YANGU KUKO FULL 😂😂 GO TO MY BIO IF YOU LIKE FULL VIDEO 😂😂😂 #zombiemovienight #zombiemovie #zombie #etvos #etvscandal #maombiyaulinzidhidiyamashambuliziyakishetani #kanisa #kabisa #kanisakatoliki #comedy #followforfollowback


2💬Normal

Utk pemesanan undangan bulan ini september 2019 free buku tamu ya kak...yuk buruan di order😘 #kanisa undangan #undangan murah #undanganunik #undanganpernikahanmurah #undanganpernikahan


0💬Normal

.....Zinapatikana dukani......tupo kaloleni ......karibu na kanisa #kanisa la pentekoste# call no# 0755_20_25_29 ####Whatsapp no # 0755_20_25_59


1💬Normal

⛪Church of the Beatitudes, Tabgha. Israel 🇮🇱 #church #israel #tabgha #israelchurch #tabghachurch #middleeast #gereja #simbahan #iglesia #kanisa #glise #كنيسة #εκκλησία #chiesa #教会 #kociół #kirke #kerk #kirik #crkva #nhthờ #kostel #kish #kykai #igreja #churchtravelers #catholic #instachurch . . 📸 by @churchtravelers


0💬Normal

⛪Church of the Beatitudes, Tabgha. Israel 🇮🇱 #church #israel #tabgha #israelchurch #tabghachurch #middleeast #gereja #simbahan #iglesia #kanisa #glise #كنيسة #εκκλησία #chiesa #教会 #kociół #kirke #kerk #kirik #crkva #nhthờ #kostel #kish #kykai #igreja #churchtravelers #instachurch


0💬Normal

Habari ya siku nyingine tena, neno la Mungu li hai nalo linachoma. @bishopgwajima @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


3💬Normal

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo ameshiriki ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro, Parokia ya Oysterbay jijini DSM. #magufuli #president #dar #suit #church #kanisa #tanzania #zanzibar24habari


0💬Normal

Pata @maarifa_ya_baba ili uwe na hekima, jifunze mengi kutoka kwa Baba yetu @bishopgwajima @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


2💬Normal

He who covers his sins will not prosper Proverbs 28:13. If we confess our sins, He is faithful and just to forgive us our sins and to cleanse us from all unrighteousness.” 1 John 1:9. #SAVEDbyGRACEthroughFAITH #salvation #gospel #IHaveDominion #righteousness #jesuschrist #wokovu #kanisa #SetApart #scripture #biblejournaling #bibleverse #evangelism #eternallife #biblia #jesussaves #thankyoujesus #instapray #churchflow #Church #tphonline #godskingdom #gospeltalk #womenintheword #goodnews #instafamily #faith #wisdom #holyspirit #grace


6💬Normal

Tukikumbuka tulikotoka, kuambatana kunaongezeka. Tuendelee kuambatana. @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @prosperous_sounds @chumahunoachuma #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


1💬Normal

This day I call the heavens and the earth as witnesses against you that I have set before you life and death, blessings and curses. Now choose life, so that you and your children may live Deuteronomy 30:19 New International Version (NIV) #SAVEDbyGRACEthroughFAITH #salvation #gospel #IHaveDominion #righteousness #jesuschrist #wokovu #kanisa #SetApart #scripture #biblejournaling #bibleverse #evangelism #eternallife #biblia #jesussaves #thankyoujesus #instapray #churchflow #Church #tphonline #godskingdom #gospeltalk #womenintheword #goodnews #instafamily #faith #wisdom #holyspirit #grace


7💬Normal

Ndugu yangu uwe mwangalifu unapokuwa umekasirika na unasema maneno gani. #maarifa ya baba, @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba, @chumahunoachuma @prosperous_sounds #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


1💬Normal

#njoomoro Karibu tufanye utali wa ndani Morogoro kama Mh @hamisi_kigwangalla alivofanya, Vipi wewe Jumamosi tunasafari ya kwenda kwa sh 15000 tu. Vipi wewe nipigie namba 0712222244. Kumbaka kwamba #morningside ni Hotel ya Kihistoria iliyojengwa na wakoloni wa kijerani mwanzoni Mwaka miaka ya 1900. Tukifika Morningside tutapata fursa ya kujua Historia ya Hotel hiyo na Eneo zima la Morningside, choma,kisosa, Mbete nk. Lakini pia Kama ulikuwa hufahamu nikujuze Kwa kifupi tu #Kanisa la kwanza la K K K T Dayosisis ya Morogoro lipo pale na lunatumika Mpaka sasa. Twende tukaone vitu mbalimbali vya kihistoria kanisani hapo. Lakini maeneo yake tulipata kuskia kwamba kuna shamba kubwa la Miti ya Christmas shamba hambalo pia limekuwa ni kivutio kikubwa . Historia inatwbia pia maeneo ya Kisosa kuna Unyayo wa mguu uliokanyagwa na mtu wa kale, unyao ambao upo juu ya jiwe Mpaka sasa, wengine husema ni Unyayo wa shetani na wengine husema ni unyayo wa Unju Bin Unuki unangoja nini sasa #Tukatanekileleni #morningside


6💬Normal

IFAHAMU MELI YA HOSPITALI YA PAPA FRANCISCO. Wakati mwingine tunaweza kuita Hospitali inayotembea kutoa huduma za afya. Hii ni Meli itakayotoa huduma za afya na kutangaza habari njema ya Wokovu kwa watu wa Mungu wanaoishi kando ya Mto wa Rio ukanda wa Amazonia. Meli hii imejipanga kutoa huduma ya tiba kwa ukanda wa Amazonia kwa huduma ya usafiri wa majini. Chanzo cha uanzishwaji wa huduma hii ni kutokana na Changamoto iliyotolewa na Baba Mtakatifu Francisco wakati wa maadhimisho ya siku ya vijana duniani kwa mwaka 2013 iliyoadhimishwa Rio de janeiro nchini Brazil. Baba Mtakatifu aligundua kwamba kutokana na hali mbaya ya miundo mbinu watu wengi walioko pembezoni mwa Mto Rio hawakuwa na fursa ya kupata huduma ya matibabu wala kichungaji. Huu ndio ukawa mwanzo wa uanzishaji wa Hospitali hii na muasisi wake ni Askofu Bernado Bahlmann wa Jimbo la Obidos nchini Brazil kwa kushirikiana na watawa wa Shirika la Mt. Francisco wanaotoa huduma ya afya katika hospitali ya Rio de janairo nchini Brazil. Kampuni za Shell na Basf S.A zimesaidia kuchangia katika mchakato wa uundwaji wa Meli hii. Hii ni alama ya Kristo Yesu anayetembea juu ya Bahari ili kutuliza dhoruba ya Magonjwa sanjari na kuimalisha imani ya wafuasi wake. Ni meli inayopania kuleta faraja, amani na utulivu wa ndani kwa watu wa Mungu waliokuwa wametelekezwa kwa kukosa huduma ya afya. Huu ndio ushuhuda wa imani ya kanisa inayomwilishwa katika matendo ya huruma(Kimwili na Kiroho) Baba Mtakatifu Francisco anapenda kutoa baraka za kitume kwa wafanyakazi wa afya, watu wakujitolea, wafadhili pamoja na wale wote watakaofaidika na huduma hii ya furaha ya Injili, kwa kuwakabidhi chini ya ulinzi na tunza ya Bikira Maria afya ya wagonjwa. #Kanisa #HospitaliYaMeli


0💬Normal

Uliizia uambiwe# shash si #kanisa niko sure uwe sagana coast ama busia.ati Mtoto anapenda shash Mathe anafurahia🤣 #wazee waache mihadarati


0💬Normal

Unachosema Ni muhimu Sanaa, hivyoo kuwa makini na maneno usemayo. @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


0💬Normal

Unachosema Ni muhimu Sanaa, hivyoo kuwa makini na maneno usemayo. @maarifa_ya_baba @bishopgwajima @yombo_ufufuonauzima @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


2💬Normal

Ni siku nyingine yenye kibali machoni pa Bwana. Kwa msaada wa maombezi na kufika kanisani wasiliana nasi kwa namba hizi 0689 054 530, 0787 165 312, Pastor John Tira +255 0655 041 @maarifa_ya_baba @bishopgwajima, @chumahunoachuma, @glory_kigoma, @bishopkonga, @tegeta_ufufuonauzima_, @pastor_dr_godson, @pastor_amos_komba #kuhubiri, #ufufuo, #ufufuonauzimaYombo, #ufufuonauzima, #kanisa, #church, #jesus, #jesuschrist, #ibada, #dua, #nenolamungu, #injili, #gospel, #mungu, #tanzania, #rohomtakatifu, #swahili


2💬Normal

#KANISA LA T.A.G SINAI CHRISTIAN & MISSION CENTER NJETENI MBEZI MPAKANI TUNAKUKARIBISHA KATIKA UZINDUZI WA ALBAM YAO YA KWANZA YA MUNGU ALITAZAMA JUMAPILI 25/8/2019 SAA 8 MCHANA MPAKA SAA 12 JIONI KANISANI HAPO NJOO MPAKA MBEZI MWISHO PANDA MAGARI YA KIBAMBA SHUKA ST. JOSEPH LUGURUNI SHELI YA HENRI UTAKUTA WATU WA KUKUELEKEZA


0💬Normal

Next Page